LIVE STREAM ADS

Header Ads

KEMBAKI MBELE KWA MBELE JIMBO LA TARIME MJINI KUPITIA CCM.

Mgombea Ubunge Jimbo la Tarime Mjini kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Michael Kembaki akijinadi kwa Wakazi wa Kata ya Kenyamanyori katika Mkutano wa Hadhara uliofanyika jana Kijijini Kenyamanyori.
Na:Binagi Media Group
Mgombea Ubunge Jimbo la Tarime Mjini (ccm) Michael Kembaki akiomba kura kwa Wakazi wa Kata ya Kenyamanyori jana.
Kembaki aliwaahidi wakazi wa kata hiyo kuwa wakimchagua atashirikiana nao katika kuhakikisha kuwa anatatua kero mbalimbali ikiwemo maji.
Mgombea Udiwani wa Kata ya Kenyamanyori, Wilaya ya Tarime Mkoani Mara (CCM) ndg.Ganga akiomba kura kwa wakazi wa Kata hiyo jana.
"CCM MBELE KWA MBELE"
Mwenye kinasa sauti ni aliekuwa Katibu wa Chama cha Wananchi CUF Wilaya ya Tarime akizungumza katika Mkutano wa Mgombea Ubunge wa CCM Jimbo la Tarime Mjini ambapo aliwasihi wananchi kuichagua CCM kwa ajili ya maendeleo yao
BINAGI MEDIA GROUP, KWA PAMOJA TUIJUZE JAMII

No comments:

Powered by Blogger.