LIVE STREAM ADS

Header Ads

NYASA BOY, MC.DARADA NA D'MALADHA WATISHA NDANI YA CHONGOROA.

Msanii Nyasa Boy kutoka Rock City Mwanza
Na:George Binagi-GB Pazzo
Nyasa Boy ni Msanii wa Kizazi kipya kutoka Jijini Mwanza ambae anachipukia vizuri sana.
Katika audio ya wimbo huu unaoitwa Chongoroa, Nyasa Boy amewashirikisha Wasanii Mc.Darada pamoja na D'Maladha wote pia kutoka Jijini Mwanza.
BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

No comments:

Powered by Blogger.