LIVE STREAM ADS

Header Ads

KINANA AUNGURUMA JIJINI MWANZA. ASEMA WALIOHAMIA UKAWA WAMETUMWA KWA KAZI MAALUMU.

Wananchi na Makada wa Chama cha Mapinduzi CCM Jijini Mwanza wakiwa katika Mkutano wa chama hicho uliofanyika jana katika Uwanja wa Mirongo Jijini humo ambapo Katibu Mkuu CCM Abdulrahman Kinana alikuwa akiwaombea kura wagomea wa chama hicho. 
Na:George Binagi-GB Pazzo
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndg.Abdulrahman Kinana ameendelea na Mikutano yake ya Kuwanadi wagombea wa Chama hicho katika Wilaya za Mkoa wa Mwanza ambapo amewataka vijana kutokubali kutumika kisiasa.

Akihutubia jana katika Mkutano wa hadhara uliofanyika katika Uwanja wa Mirongo Jijini Mwanza baada ya mikutano katika Majimbo ya Ilemela, Sengerema na Ukerewe, Kinana alisema kuwa vijana wasikubaliane na maneno ya baadhi ya viongozi na wanasiasa wanaowashawishi kubaki katika vituo vya kupigia kura siku ya uchaguzi mkuu kwa ajili ya kulinda kura.

“Vijana msikubali kutumika kisiasa kwani kuna baadhi ya viongozi na wanasiasa wameanza kuwashawishi kuwa mbakie katika vituo vya kupigia kura siku ya uchaguzi mkuu ili mlinde kura. Huyo anaekwambia kalinde kura mwambie mzee njoo tulinde wote”. Alisema Kinana na kuongeza kuwa siku hiyo wananchi wakiwaona hao wanaowaambia hivyo wakilinda kura, basi na wao walinde hizo kura ila kama hawatakuwepo katika vituo vya kupigia kura basi na wao waondoke katika vituo hivyo baada ya kupiga kura.

Katika hatua nyingine Kinana aliwasihi wananchi kuwachagua viongozi bora wanaotokana na CCM badala ya kuwachagua viongozi ambao hawana uwezo wa kuwatumikia kwa ajili ya maendeleo yao.

“Msituchanganyie mambo mwaka huu. Chagueni viongozi kutoka CCM ili tuweke madarakani chama kilicho na utaratibu ambacho kitaweza kushughulikia malalamiko yenu na kwa utaratibu pia”. Alisema Kinana huku akishangiriwa kila alipokuwa akitaja jina na Mgombea wa CCM John Pombe Magufuli pamoja na Mgombea Ubunge Jimbo la Nyamagana Stanslaus Mabula.

Hata hivyo kinana aliwaacha vinywa wazi wananchi na makada waliohudhuria katika mkutano huoo baada ya kusema kuwa wale wote waliohamia Ukawa wakitokea CCM wametumwa kwa kazi maalumu na wananchi watajionea wenyewe baada ya uchaguzi mku unaotarajiwa kufanyika Octoba 25 mwaka huu.
Katibu Mkuu CCM Abdulrahman Kinana akiwahutubia wakazi wa Jiji la Mwanza na kuwaombea kura wagombea wa chama hicho

Mgombea Udiwani Kata ya Mirongo akiomba kura
Kushoto ni Katibu wa CCM Mkoa wa Mwanza Miraji Mtaturu akiwaombea kura wagombea wa chama hicho
Dkt.Antony Diallo ambae ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza akiwaombea kura wagombea wa chama hicho

Mgombea Ubunge jimbo la Nyamagana Stanslaus Mabula akiomba kura kwa wakazi wa Jimbo hilo
Katikati ni Mgombea Ubunge jimbo la Nyamagana Stanslaus Mabula akiwa pamoja na viongozi wengine wa CCM
Kushoto ni Mgombea Ubunge jimbo la Nyamagana Stanslaus Mabula akiwa na mmoja wa kada wa CCM
Mwenyekiti wa CCM Mkoani Mwanza Dkt.Antony Diallo (Kulia) akiwa na Katibu wa Chama hicho Mkoa wa Mwanza Miraji Mtaturu (Kushoto)
Makada na Viongozi wa CCM Mkoani Mwanza
Wananchi na Makada wa Chama cha Mapinduzi CCM Jijini Mwanza wakiwa katika Mkutano wa chama hicho uliofanyika jana katika Uwanja wa Mirongo Jijini humo ambapo Katibu Mkuu CCM Abdulrahman Kinana alikuwa akiwaombea kura wagomea wa chama hicho. 
Wananchi na Makada wa Chama cha Mapinduzi CCM Jijini Mwanza wakiwa katika Mkutano wa chama hicho uliofanyika jana katika Uwanja wa Mirongo Jijini humo ambapo Katibu Mkuu CCM Abdulrahman Kinana alikuwa akiwaombea kura wagomea wa chama hicho. 
Wananchi na Makada wa Chama cha Mapinduzi CCM Jijini Mwanza wakiwa katika Mkutano wa chama hicho uliofanyika jana katika Uwanja wa Mirongo Jijini humo ambapo Katibu Mkuu CCM Abdulrahman Kinana alikuwa akiwaombea kura wagomea wa chama hicho. 
Wananchi na Makada wa Chama cha Mapinduzi CCM Jijini Mwanza wakiwa katika Mkutano wa chama hicho uliofanyika jana katika Uwanja wa Mirongo Jijini humo ambapo Katibu Mkuu CCM Abdulrahman Kinana alikuwa akiwaombea kura wagomea wa chama hicho. 
Wananchi na Makada wa Chama cha Mapinduzi CCM Jijini Mwanza wakiwa katika Mkutano wa chama hicho uliofanyika jana katika Uwanja wa Mirongo Jijini humo ambapo Katibu Mkuu CCM Abdulrahman Kinana alikuwa akiwaombea kura wagomea wa chama hicho. 
Matukio yakinaswa kwa umakini

CCM WANASEMA HAPA KAZI TU.

No comments:

Powered by Blogger.