LIVE STREAM ADS

Header Ads

WENJE AZIDI KURINDIMA JIJINI MWANZA.

Wakazi wa Kata ya Buhongwa Jijini Mwanza wakimsikiliza Mgombea Ubunge wa Jimbo la Nyamagana Mkoani Mwanza kwa tiketi ya Chama cha Maendeleo Chadema chini ya mwamvuli wa Umoja wa Katiba ya Wananchi Ukawa Ezekiel Dibogo Wenje katika Mkutano wa hadhara uliofanyika jana katika Uwanja wa Shule ya Msingi Buhongwa.

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Nyamagana Mkoani Mwanza kwa tiketi ya Chama cha Maendeleo Chadema chini ya mwamvuli wa Umoja wa Katiba ya Wananchi Ukawa Ezekiel Dibogo Wenje akiomba kura kwa wakazi wa Kata ya Buhongwa katika Mkutano wa hadhara uliofanyika jana katika Uwanja wa Shule ya Msingi Buhongwa.

Wenje anatetea tena nafasi hiyo ambayo aliitumikia katika kipindi cha mwaka 2010/15.

No comments:

Powered by Blogger.