LIVE STREAM ADS

Header Ads

BINAGI RADIO: KILICHOJIRI MAHAKAMA KUU KANDA YA MWANZA KUHUSU MWILI WA MAWAZO.


Jana Novemba 26,2015 Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza ilitengua zuio la Jeshi la Polisi Mkoani hapa la kuzuia ibada ya mazishi ya kuuaga mwili wa aliekuwa Mwenyekiti wa Chadema Mkoani Geita Alphonce Mawazo alieuawa kwa kukatwa mapanga na watu wasiojulikana Novemba 14 mwaka huu Mkoani humo.
BONYEZA PLAY KUSIKILIZA BINAGI RADIO-HABARI JUU YA HABARI HIYO.

No comments:

Powered by Blogger.