LEO AMEZALIWA DJ SIMBA. THE BEST DJ ANAE WAKUBALI WATU WOTE WANACHAPA KAZI.
Likitajwa jina la "DJ SIMBA" macho na masikio ya wengi hukumbuka mix za hatari zinazofanya nae pindi anapokuwa kwenye mixer.
Dj Simba (Pichani) amejizolea sifa kubwa kutoka na umahili wake katika kazi yake akiwa amefanya kazi sehemu tofauti tofauti na kwa sasa Sahara Media Group akifanya kazi katika Redio na Runinga Pia.
Na:Binagi Media Group (BMG)
Kwa watumiaji wa Mitandao ya Kijamii, Wengi wanamfahamu kwa jina la "MKUBALI MWENZIO" ambayo ni slogan iliyoanzishwa na Dj Simba kwa ajili ya kutoka pongezi kwa wale wote wanaofanya kazi nzuri kwa kila sekta.
Ikiwa ni siku yake ya kuzaliwa hii leo, Dj Simba kwenye ukurasa wa Instagram ameandika
"Tarehe 11/11 Miaka kadhaa iliyopita Alizaliwa mtoto Na Akapewa jina la SIMBA jina la Ushindi na sio droo,,,, , "Jina la kishujaaa Jina la harakati Mwanzo mwisho Uoga wa maisha kwake mwiko na hofu Kwa Mwanadamu ni jambo Asilolijua" "Ukimuona Mtu Ananitukana Pengine anataka Nimjibu ili Ajulikane",,,,,, Wa Kumuogopa ni MUNGU peke yake. Happy birthday 2 me........ .Najikubali Najiamini pia Nawakubali woote wanaokubalika na wewe #mkubali_mwenzio"
BMG-Happy Birth Day Dj Simba
No comments: