LIVE STREAM ADS

Header Ads

SIKILIZA MAHOJIANO NA ALIEKUWA MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MBARALI (CHADEMA) MKOANI MBEYA.

Liberatus Mwang'ombe katika moja ya mikutano yake jimboni Mbarali
Katika kipindi cha JUKWAA LANGU wiki hii tulipata fursa kuongea na aliyekuwa mgombea ubunge jimbo la Mbarali kupitia CHADEMA Liberatus Mwang'ombe ambaye ameeleza mengi kuhusu uchaguzi ulivyokuwa, aliyojifunza, analotaka kufanya kuhusu matokeo na hata kwa wana-diaspora wengine wenye nia ya kugombea nafasi mbalimbali Tanzania

No comments:

Powered by Blogger.