LIVE STREAM ADS

Header Ads

NAIBU KATIBU MKUU WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI AFUNGA MKUTANO WA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA IDARA YA JESHI LA POLISI.

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, John Mngodo, akizungumza na wajumbe wa mkutano wa Baraza la wafanyakazi wa Idara ya Jeshi la Polisi (hawapo pichani), wakati alipoalikwa kufunga mkutano huo uliofanyika Chuo cha Taaluma ya Polisi,Kilwa Road,jijini Dar es Salaam
Naibu Katibu wa Baraza la Wafanyakazi, Stanford Busumbiro (kulia) akimpongeza Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani  ya Nchi, John Mngodo, muda mfupi baada ya kumaliza kufunga mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Idara ya Jeshi la Polisi uliofanyika katika Chuo cha Taaluma ya Polisi,Kilwa Road,jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Chuo cha Taaluma ya Polisi,DCP Ally Lugendo, akizungumza wakati wa kufunga mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Idara ya Jeshi la Polisi uliofanyika Chuo Cha Taaluma yaPolisi,Kilwa Road, jijini Dar es Salaam
Naibu Katibu Mkuu wa  Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi ,John Mngodo (katikati), akiwasili Chuo cha Taaluma ya Polisi kilichopo Kilwa Road, jijini Dar es salaam kufunga mkutano wa Baraza la Wafanyakazi la Idara ya Jeshi la Polisi.wengine waliongozana na Naibu ni viongozi wa Baraza hilo.
(Picha zote na Abubakari Akida,Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
Imeandaliwa na Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali-Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

No comments:

Powered by Blogger.