NEW TRACK: MEDDY SAMURAI_ MZEE WA MELI.
PAKUA na KUSIKILIZA wimbo mpya kutoka kwa MEDDY SAMURAI akiwa ni msanii mchanga anayeishi akiamini kujituma na kushiriki katika mikusanyiko mbalimbali ya fikra, ataweza kutimiza ndoto zake ikiwa mojawapo ni kuwafikishia taarifa sahihi WAHITAJI wake.
MZEE WA MELI ni wimbo unaosimulia hadithi yenye uhusika halisi wa maisha yake na visa vya kila siku katika jamii yetu.
No comments: