LIVE STREAM ADS

Header Ads

NUMET WAFURAHIA ZIARA YAO KATIKA HIFADHI YA TAIFA YA KISIWA CHA SAANANE JIJINI MWANZA.

Chama cha Wafanyakazi wa Migodini nchini, NUMET jana kilitembelea Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Saanane kilichopo Jijini Mwanza kwa ajili ya kujionea utalii uliopo katika Kisiwa hicho.
Na:George Binagi-GB Pazzo @BMG
Wafanyakazi wa Migodini wanaounda Chama cha Wafanyakazi wa Migodini NUMET Wakiwa katika picha ya pamoja katika Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Saanane Jijini Mwanza
Wafanyakazi wa Migodini wanaounda Chama cha Wafanyakazi wa Migodini NUMET Wakiwa katika picha ya pamoja katika Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Saanane Jijini Mwanza
Wafanyakazi wanaounda Chama cha Wafanyakazi wa Migodini nchini NUMET wakijonea mandhari mbalimbali katika Hifadhi ya Taifa ya Saanane Jijini Mwanza ambapo wa kwanza kushoto ni mwongoza watalii akiwapatia maelezo mbalimbali juu ya hifadhi hiyo
Utalii wa Ndani ukiendelea ndani ya hifadhi ya Saanane Jijini Mwanza
Wengi walifurahia enep hili baada ya kuwaona wanyama warembo kabisa (pundamilia) katika hifadhi ya Saanane
Ni kona moja hadi nyingine katika Kisiwa cha Saanane
Ni kona moja hadi nyingine katika Kisiwa cha Saanane
Ni kona moja hadi nyingine katika Kisiwa cha Saanane
Utalii wa Ndani
Kila mmoja akitafakari uzuri wa Hifadhi ya Taifa ya Saanane
Macho mbele kwa mbele kujionea uzuri wa Hifadhi ya Taifa ya Saanane
Viongozi wa NUMET
Wana NUMET Wakitafakari kidogo juu ya uzuri wa Kisiwa cha Saanane
Katika Hifadhi ya Taifa ya Saanane
Hakika Kila Mmoja aligurahia mandhari ya Hifadhi ya Taifa ya Saanane
Jumping Point ni pahala ambapo kila mmoja hufurahia awapo katika Hifadhi ya Taifa ya Saanane
Jumping Point ni pahala ambapo kila mmoja hufurahia awapo katika Hifadhi ya Taifa ya Saanane
Jumping Point
Utalii wa Ndani ni Mhimu sana

No comments:

Powered by Blogger.