LIVE STREAM ADS

Header Ads

TBL MWANZA YAWAPONGEZA WAFANYAKAZI WALIODUMU KWA MUDA MREFU.

Wafanyakazi wa Kampuni ya Bia ya Tanzania Breweries TBL Mwanza wakigonga Cheers katika halfa ya kuwapongeza wafanyakazi wa Kampuni hiyo waliofanya kazi kwa muda mrefu iliyofanyika jana katika Viunga vya kiwanda hicho Ilemela Mkoani Mwanza.
Na:George Binagi-GB Pazzo wa Binagi Media Group
Waliopongezwa ni wale walioitumikia Kampuni hiyo kwa miaka 10, 15, 20 na 30. Waliofanyaka kazi kwa bidi katika Kampuni hiyo kwa miaka 10 walikuwa ni wafanyakazi 10, Miaka 15 wafanyakazi Watatu, Miaka 20 walikuwa wafanyakazi 37 na Miaka 30 ni mfanyakazi Mmoja.

Waliofanya kazi kwa miaka 30 walipewa pesa kiasi cha thamani ya miezi miwili na nusu ya mshahara wake, miaka 20 kiasi cha thamani ya mshahara wake wa miezi miwili, Miaka 15 kiasi cha thamani ya mshahara wake wa mwezi mmoja na nusu na miaka 10 kiasi cha thamani ya mshahara wake wa mwezi mmoja.

Akizungumza kwa niaba ya wafanyakazi wenzake, Ismail Maskini ambae alipokea zawadi ya kuwa mfanyakazi pekee alieitumikia kampuni ya TBL kwa miaka 30 kwa bidii, alisema kuwa amefikia hatua hiyo kutokana na kampuni hiyo kuwa na uongozi bora ambao umeboresha mazingira kwa wafanyakazi jambo linalosaidia wafanyakazi wake kufanya kazi kwa bidii zaidi.
Wafanyakazi wa Kampuni ya Bia ya Tanzania Breweries TBL Mwanza wakigonga Cheers katika halfa ya kuwapongeza wafanyakazi wa Kampuni hiyo waliofanya kazi kwa muda mrefu.

Meza kuu
Ni wasaa wa chakula wakati Kampuni ya Bia ya Tanzania Breweries TBL Mwanza ilipofanya halfa ya kuwapongeza wafanyakazi wa Kampuni hiyo waliofanya kazi kwa muda mrefu hii leo.
Ni wasaa wa chakula wakati Kampuni ya Bia ya Tanzania Breweries TBL Mwanza ilipofanya halfa ya kuwapongeza wafanyakazi wa Kampuni hiyo waliofanya kazi kwa muda mrefu hii leo.
Live Band
Live Band
Burudani
Cheza Kimadoido
Cheza Kimadoido
Cheza Kimadoido
Moja Moto, Moja Baridi

No comments:

Powered by Blogger.