LIVE STREAM ADS

Header Ads

DIWANI WA KATA YA IGOMA JIJINI MWANZA ALA KIAPO CHA KUWATUMIKIA WANANCHI WA KATA HIYO.

Diwani wa Kata ya Igoma kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Mussa Willium Magabe (Kushoto) jana akiapa kwa ajili ya kuwatumikia wananchi wa Kata hiyo katika Kikao cha Kwanza cha Baraza la Madiwani wa halmashauri ya Jiji la Mwanza.
Na:George Binagi-GB Pazzo @Binagi Media Group (BMG)
Aliahidi kuwatumikia wananchi wa Kata ya Igoma kwa uadilifu mkubwa bila kujali itikadi za aina yoyote ile kwa ajili ya Maendeleo ya Kata hiyo.
Kulia ni Hakimu Mkazi Mwanzamizi Mkoa wa Mwanza, Yusto Ruboroga akisimamia zoezi la madiwani wa halmashauri ya Jiji la Mwanza.
Baadhi ya Madiwani wa halmashauri ya Jiji la Mwanza
Wananchi wakifuatilia kikao cha kwanza cha baraza la Madiwani wa halmashauri ya Jiji la Mwanza
Diwani wa Kata ya Igoma kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Mussa Willium Magabe (katikati) akipokea pongezi kutoka kwa baadhi ya ndugu, jamaa, marafiki pamoja na wapiga kura wake baada ya kuapishwa jana.
Kwa Picha Zaidi BONYEZA HAPA

No comments:

Powered by Blogger.