LIVE STREAM ADS

Header Ads

DIWANI WA KATA YA KISHIRI JIJINI MWANZA AAPA KWA AJILI YA KUWATUMIKIA WANANCHI WAKE.

Diwani Mteule wa Kata ya Kishiri Jijini Mwanza kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Sospeter Thobias Ndumi akiapa kuwa diwani wa Kata hiyo katika Kikao cha Kwanza za baraza la Madiwani wa halmashauri ya Jiji la Mwanza kilichofanyika jana.
Na:George Binagi-GB Pazzo @Binagi Media Group (BMG)
Kulia ni Hakimu Mkazi Mwandamizi Mkoa wa Mwanza, Yusto Ruboroga akisimamia zoezi la uapishaji wa madiwani wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza.
Baadhi ya Madiwani wa Jiji la Mwanza wakila kiapo cha utumishi
Diwani wa Kata ya Kishiri, Sospeter Thobias Ndumi (CCM) akipongezwa baada ya kuapishwa 
Diwani wa Kata ya Kishiri, Sospeter Thobias Ndumi (CCM) akipongezwa baada ya kuapishwa.
Picha Zaidi BONYEZA HAPA

No comments:

Powered by Blogger.