LIVE STREAM ADS

Header Ads

HABARI PICHA: WANABUGUTI MKOANI MARA MKIIJALI CHEMCHEM HII YA MAJI NAYO ITAWAJALI SANA.

Chemchem ya maji haya ni tegemeo kubwa kwa wakazi wa Mtaa wa Buguti, Kata ya Turwa, Wilaya ya Tarime Mkoani Mara. Kwa ushirikiano na viongozi wa Serikali ya Mtaa huo, imekuwa ikirekebishwa kwa kujengewa ili kuwa na maji safi ya kutumia majumbani.
Na:Binagi Media Group
Kama inavyoonekana, inahitaji kurekebishwa kwa kujengewa hivyo wakazi wa mtaa huo kwa kushirikiana na Uongozi wa Serikali ya Mtaa ni vyema wakashirikiana tena ili kufanya marekebisho katika kisima hicho ambacho ni cha asili ili kuvuna maji safi na hata salama kwa ajili ya kutumia.

Kwa wakati huu maji machafu kutoka vyanzo visivyo salama yanatiririka na kuingia katika (kisima) maji hayo jambo ambalo ni hatari kwa watumiaji wake hivyo msimsubiri Waziri wa Maji au Rais ama shirika fulani katika shughuli zenu za kimaendeleo.

No comments:

Powered by Blogger.