SALAMU ZA MWAKA MPYA 2016 KUTOKA KWA MWENYEKITI WA UMOJA WA WAENDESHA PIKIPIKI MKOA WA MWANZA.
Mwenyekiti wa Umoja wa Waendesha Pikipiki
(Bodaboda) Mkoa wa Mwanza, kwa niaba ya Umoja huo, anawatakia Watanzania wote
kila la kheri katika kuumaliza mwaka 2015 na kheri katika kuukaribisha mwaka
mpya 2016.
“Mwaka 2016 uwe wenye Baraka na tunamuomba mwenyezi
Mungu atuongoze na kutulinda katika kutekeleza majukumu yetu katika kulijenga
Taifa letu lenye Amani na Mshikamano, bodaboda ni Usafiri salama, Mungu ibariki
Tanzania”. Makoye Kayanda Bunoro, Mwenyekiti bodaboda Mkoa wa Mwanza.
Zaidi Bonyeza HAPA
Zaidi Bonyeza HAPA
No comments: