LIVE STREAM ADS

Header Ads

SAFARI YA NDOA BAINA YA DAVID MONGOLD PAMOJA NA DIANA SARIA YAWADIA.

Diana Saria (Kulia) ambae ni Mkazi wa Moshi Mkoani Kilimanjaro akiwa pamoja na Mwenza wake David Mongold katika hafla yao ya kuvishwa pete ya Uchumba iliyofanyika mwishoni mwaka mwaka jana Mkoani Kilimanjaro.
Kutoka Kulia ni Zulfa Mussa ambae alikuwa msimamizi wa bibi harusi mtarajia, anaefuata ni bibi harusi mtarajiwa Diana Saria, anaefuta ni bwana harusi mtarajiwa David Mongold na wa mwisho ni msimamizi wa bwana harusi mtarajiwa Oscal Lyatuu.
Diana Saria (kulia) akivishwa pete na mchumba wake David Mongold mwishoni mwa mwaka jana
Kutoka kulia ni Diana Saria, katikati ni Zulfa Mussa na kushoto ni David Mongold baada ya zoezi la kuvishwa pete, wakiwa katika picha ya ukumbusho.

No comments:

Powered by Blogger.