LIVE STREAM ADS

Header Ads

HAPPY BIRTH DAY MWANAHABARI NA BLOGGER GEORGE BINAGI.

February 26 Miaka Kadhaa Iliyopita, alizaliwa Mtoto George Marwa Daniel Binagi-GB Pazzo (Kulia) katika Kijiji cha Kenyamanyori, Wilaya ya Tarime Mkoani Mara. Hivi sasa ni Mwanahabari na Blogger nchini Tanzania akimiliki Mtandao wa "Binagi Media Group". Kushoto ni Mama yake Mpendwa Mama Leah Marwa Daniel Binagi.

"Ahsante Mungu wangu...Ahsante Wazazi wangu...Ahsante Kila Mmoja ambae nimekutana nae katika Maisha yangu hadi hivi sasa...Wapo walionitendea Mema lakini wapo pia walionitendea Mabaya... Hiyo yote ni kwa ajili ya kunifanya kuwa mtu fulani katika hii dunia...Wote nawapenda sana...Daima nitashirikiana na Kila Mmoja katika jamii lakini Milele nitamtegemea Mwenyezi Mungu katika Maisha yangu...Nawapenda Wote na Nitamheshimu kila mmoja katika jamii ila sitakuwa na Nidhamu ya Uoga maana nidhamu ya Uoga huleta Utumwa". Huo ndio ujumbe wa Mtoto GB Pazzo katika siku yake ya kuzaliwa.
"Hii Picha ilipigwa Miaka Sita iliyopita, Inaonyesha Upendo thabiti wa Mama kwa Mwanae. Nakupenda Sana My Dear Mama".GB Pazzo.
Kuungana nae katika Birth Day Party BONYEZA HAPA

No comments:

Powered by Blogger.