LIVE STREAM ADS

Header Ads

"MY BIRTH DAY IS LOADING, HII SI YA KUKOSA". MWANAHABARI NA BLOGGER GEORGE BINAGI.

Katika kusherekea Siku yake ya Kuzaliwa, Mwanahabari na Blogger George Marwa Binagi-GB Pazzo (Pichani) anapenda kuwashirikisha katik sherehe hiyo.
Itakuwa ni kesho ijumaa (February 26,2016) kuanzia saa kumi na mbili jioni katika Location mtakayojulishwa Jijini Mwanza.

Kutakuwa na Matukio mbalimbali ktk Siku hiyo hivyo unahimizwa kushiriki hususani ulie Jijini Mwanza.
Ili kushiriki Birth Day hiyo, unahimizwa kuthibitisha ushiriki wako kwa nambari 0757432694 ili kupewa utaratibu kamili.

Mwisho wa kuthibitisha ni ijumaa February 26,2016 saa sita kamili mchana so mnaombwa kuthibitisha kwa nambari hiyo hapo juu!
NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI MNAHIMIZWA KUSHIRIKI UPENDO WENU NA MTOTO GB PAZZO BILA KUKOSA. HABARI ZAIDI TEMBELEAbinagimediagroup.blogspot.com KWA PAMOJA TUIJUZE JAMII.

1 comment:

  1. HAPPY BRITH DAY TO U MA FRIEND Mungu akuzidishie maisha marefu ndugu yangu hongela sana

    ReplyDelete

Powered by Blogger.