PENDEZA NA MITINDO YA AINA MBALIMBALI KUTOKA MIKAELA PROFESSIONAL TAILORS JIJINI MWANZA.
Mikaela Professional Tailors ni Watalaamu wa Ushinaji wa nguo za aina mbalimbali (Me/Ke) Jijini Mwanza. Ni Wabunifu na Washonaji Wa Mavazi Waliobobea wakiwa wamelenga kukata kiu ya Wanaojua Kupendeza kwa mavazi bora.
Wanapatikana Ghana Green View, Nyamanoro Manispaa ya Ilemela Mkoani Mwanza wakiwa na ujuzi wa kushona nguo za Maharusi, Kitchen Party, Ofisini, Majoho na nyinginezo nyingi ikiwemo ngumo za Vitenge, za Kudarizi bila kusahamu kila aina ya Suiti.
Tazama baadhi ya Mitindo kutoka Mikaela Professional Tailors kisha wasiliana nao kwa nambari 0676 68 28 88.
No comments: