TIGO YAKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI MKOANI DODOMA.
Meneja Mawasiliano wa Tigo John Wanyancha (Kushoto) akikabidhi vifaa mbalimbali vifaa vya mawasiliano na michezo vyenye thamani ya shilingi milioni nane kwa Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Dodoma (CPC) Habel Chidawali, ili kufanikisha bonanza la wanahabari la kufunga mwaka 2015 lililopangwa kufanyika baadaye mwezi huu. Makabidhiano hayo yalifanyika mwishoni mwa wiki iliyopita mjini Dodoma.
|
No comments: