LIVE STREAM ADS

Header Ads

WARAKA MUHIMU KUTOKA KWA MSANII ELIZAYO HB KWENDA KWA WASANII WACHANGA NCHINI.

Lengo la wasanii wote uwe unaimba hip Hip Hop, Rege, Gospel, Mduara, n.k ni kujulikana ili uwe msanii mkubwa.
Sasa kabla hujaenda kurekod wimbo wako, jiulize mambo yafuatayo;
1.Unamashairi mazuri?
Andika mashair mazuri yenye kuwavutia watu
mashairi( mistari) ni kitu kikubwa sana kweny wimbo. Naweza kusema huu ndio wimbo wenyewe.
Unaweza ukawa na uwezo mkubwa wa kuimba usiwe na uwezo wa kutunga mashair. Pia unaweza ukawa na uwezo mkubwa wa kutunga usiwe na uwezo wa kuimba, kutungiwa mashairi sio ajabu.

Pia usione aibu kuandikiwa mashairi kwasababu kuandikiwa sio ushamba wala ujinga. Kuandika mashairi ni kipaji kama ilivyokuimba (hii ni kwa nchi zote sio Tanzania tu.).

4:Baada ya kurecord wimbo wako sasa jiulize una COVER NZURI ya kuweza kuwashawishi watu waitafute track yako?

2. Studio unayoenda kufanyia kazi inauwezo wa kukutolea kazi bora?( yan vfaa vpo?, producer anajua?, vp muonekano wa vocal room ina sound proof?)

3. Unaflow nzur ya kuwashawishi watu? (ubunifu wa melody unamata sana!) Ninaposema bloggers namaanisha wamiliki wa blog pia website mbalimbali, mfano binagimediagroup.blogspot.com

Watu wengi hawajui kwamba cover ni muhm sana kwenye kuufanya wimbo wako usambae na kutaftwa na watu. Cover nzuri ni chachu ya watu kutafuta wimbo wako. (Jitoe tengeneza cover kali utaona matokeo).
5.Unaconnection na blogger?
Hawa watakusaidia kukuwekea Wimbo kwenye internet ili uweze kuwafikia watu wengi zaid. Blog na website ni biashara so jitahid utenge bajeti kwaajil ya kuwalipa hawa watu wa kukusambazia kwenye internet.

6.Unaconnection yoyote na redio presenters?
Tengeneza connection na hawa watu ili waweze kukusambazia wimbo kupitia redio na watu wakisikia wataitafta kwenye internet ambapo bloggers watakuwa tayari wameweka.
Hawa pia ni watu muhim sana kwenye kufanya wimbo wako uwafikie watu wengi.


HITIMISHO

Tuwekeze kweny music coz music ni kazi kama kazi nyingine! Pia mziki ni BIASHARA kama zilivyobiashara nyingine kwahiyo MTAJI NI MUHIM .
kama unaona hauna pesa ya kutosha kutekeleza hayo, ni bora ukatulia tu maana kufanya hivyo kutakupelekea kupoteza muda na pesa pasipo kukufikisha unapotaka...
IMEANDALIWA NA. ELIZAYO HB, Msanii na Msomaji wa binagimediagroup.blogspot.com

No comments:

Powered by Blogger.