JINSI MWANAHABARI NA BLOGGER GEORGE BINAGI ALIVYOSHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA.
Kila ifikapo February 26 ya Kila Mwaka Mwanahabari na Blogger George Marwa BinagiGB Pazzo(Kulia) Mzaliwa wa Kijiji cha Kenyamanyori,Wilaya ya Tarime Mkoani Mara, Kikazi Jijini Mwanza, huadhimisha siku yake ya Kuzaliwa.
Jana wadau mbalimbali waliungana na GB Pazzo kusherehekea siku yake ya Kuzaliwa, ambapo katikati alikuwa ni Mgeni Rasmi ndug.Dede Petro ambae ni Mwenyekiti wa Chama cha Madereva Kanda ya Ziwa na Kushoto ni Loyce Nhaluke kutoka Kampuni ya Uuzaji Sola ya M-Power.
Jamani?
Eti ni Baraka hizo
Share Upendo
Cheers na Mgeni Rasmi pamoja na Wageni wengine waalikwa
Cheers na Mgeni Rasmi pamoja na Wageni wengine waalikwa
GB Pazzo akigonga Cheers na Wageni wengine waalikwa
GB Pazzo akigonga Cheers na Wageni wengine waalikwa
GB Pazzo akigonga Cheers na mmoja wa Wageni wengine waalikwa
Kulia ni mtoto aliezaliwa, GB Pazzo akikata keki
Mtoto GB Pazzo akimlisha Keki Mgeni Rasmi, Dede Petro ambae ni Mwenyekiti wa Madereva Kanda ya Ziwa.
Kutoka Kampuni ya kutoka M-Power ni Loyce Nhaluke ambae pia ni Shangazi wa Mtoto GB Pazzo akilishwa Keki
Filbert Kabago kutoka Passion Fm Mwanza akilishwa Keki
Kulia ni Alphonce Tonny Kapela (Dr.Tonny na Sasa Profesor Tonny) kutoka Radio Metro Fm ya Jijini Mwanza akilishwa Keki
Mansoor Jumanne Kutoka Jembe Fm Mwanza akilishwa Keki.
Rafiki wa GB Pazzo akilishwa Keki
Vester Joseph/ Vesterjtz kutoka Radio Afya akilishwa Keki
Fredirick Bundara/ Kijukuu cha Bibi K, kutoka Radio Free Africa akilishwa Keki
Mr.English kutoka English Club Jijini Mwanz akilishwa Keki
Pastor Maganga kutoka HHC Alive Radio ya Jijini Mwanza akilishwa Keki
Vanessa Laban kutoka Kwa Neema Fm Radio ya Jijini Mwanza akilishwa Keki
Anko John ambae ni rafiki wa karibu wa GB Pazzo akilishwa Keki
Wageni Waalikwa wakifurahia Keki kutoka Royal Oven Bakery Jijini Mwanza
Wageni Waalikwa wakifurahia Keki kutoka Royal Oven Bakery Jijini Mwanza
Mtoto aliezaliwa akiwa pamoja na Mgeni Rasmi kwa ajili ya Kuchukua Msosi ulioandaliwa na Binti Maringo Jijini Mwanza
Godfrey Kutoka Radio Maria akichukua Msosi
Kijukuu cha Bibi K pamoja na Mansoor Jumanne wakichukua Msosi
Mansoor akichukua msosi
Vanessa, Pastor Maganga na Vesterjtz wakichukua msosi
Vesterjtz akichukua msosi
Dr.Tonn akichukua msosi
Mtoto aliezaliwa jana February 26, GB Pazzo (Kulia) akiwa na mgeni rasmi, Dede Petro
Zawadi sasa Mhhhhhhh
Ikawa hivyo
Mansoor, Vester na Kijukuuu ndo nini hicho kumuogesha mtoto na nguo?
Jamani Mgeni Rasmi
Jamani????
Ni Upendo tu
Ni Upendo tu
Neno kutoka Kwa Mgeni Rasmi. Ahsanteni kwa upendo wenu
Kutoka Kushoto ni Dr.Tonny wa Radio Metro, Kijuu cha Bibi K kutoka RFA pamoja na Robert Kasamwa kutoka BMG Team
"Ahsanteni kwa Upendo Wenu". GB Pazzo
Mtoto GB Pazzo akitoa shukurani zake
Kusoma Ujumbe wa Mtoto GB Pazzo BONYEZA HAPA.
Picha na Robert Kasamwa @BMG Team
No comments: