LIVE STREAM ADS

Header Ads

BURUDANI YA KUKATA NA MUNDU JIJINI MWANZA ITAKUWA CLUB FUSION IJUMAA HII.

Imeandaliwa Party ya nguvu na kupewa jina la "HIGH HEELS PARTY" siku ya Ijumaa Machi 18,2018 ndani ya Club Fusion Jijini Mwanza. 

Hakika hii si ya kukosa ambapo burudani itadondoshwa na Wakali wa Rock City Young Rafa, H-Chriss, Coyo Mc, K-Fan, Young Kid pamoja na Bad Numbers.  Pia kutakuwa na uzinduzi wa Video ya H-Chriss Ft.Coyo Mc-Kazi ya Mdomo.

Kiingilio ni buku kumi tu mlangoni na kutakuwepo na zawadi kwa watakaopendeza zaidi pamoja na shangwe za kutosha kutoka kwa Madj'z wakali akiwemo Dj Victor.
Na:Binagi Media Group

No comments:

Powered by Blogger.