LIVE STREAM ADS

Header Ads

KIJANA WENU ACHAGULIWA KUSHIRIKI SHINDANO LA SANAA YA PICHA ZA MATANGAZO JIJINI DAR.

“Jamani Kijana wenu nipo kwenye Shindano la kumtafuta Mshindi wa Sanaa ya Picha za Matangazo. Namba yangu ya ushiriki ni 5K9 ambapo utaituma kwenda nambari 0784 77 12 12 kwa njia ya meseji. Kura yako ndo itakayofanya niibuke kidedea. Kura zinaanza kupigwa tarehe 16 March 2016. Kumbuka kupiga kura moja tu. Fanya kushare kwa Wana ili wapate kutoa mashavu ile kwa sana ili tuibuke kidedea”. Ameandika kijana wenu ambae ni mshiriki nambari tano katika shindano hilo. Tembelea ukurasa wake wa Facebook @Godfrey Binagi.

No comments:

Powered by Blogger.