LIVE STREAM ADS

Header Ads

JE RAHA YAKO YA ROCK CITY NI NINI? SOMA HAPA!

Anaitwa George Binagi-GB Pazzo, Mwanahabari, 102.5 Lake Fm Mwanza. Kumbuka pia ndie Mwanzilishi wa Mtandao wa BMG.
Raha yake ya Rock City ni Usafiri wa baiskeli zinazoendeshwa na wananzengo wa Mwanza kama bodaboda ambazo huzitumia akiwa anatafuta habari!
JE RAHA YAKO YA ROCK CITY NI NINI?

‪#‎Tune‬ 102.5 LakeFm
‪#‎Raha‬ Ya Rock City
Follow Facebook, Twitter & Instagram @lakefmmwanza

No comments:

Powered by Blogger.