MAOMBI MAALUMU YA KUMWOMBEA RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI NA SERIKALI YAKE YAFANYIKA.
Baadhi ya maaskofu kutoka makanisa mbalimbali Mkoani Mbeya wakiwa wameshika Picha ya Rais na ramani ya Tanzania wakati wa maombi maalum ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na serikali yake katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mkapa jijini Mbeya.
kwaya zikiendelea kutumbuiza katika maombi hayo ya kumwombea Rais Dkt John Pombe Magufuli na serikali yake katika ukumbi wa Mkapa jijini Mbeya Machi 8 mwaka huu. |
Maombi yakiendelea.... |
Baadhi ya viongozi wa makanisa mbalimbali mkoani mbeya wakiwa katika maombi maalumu ya kumwombea Rais Dkt Maguli na serikali yake . |
Picha na Jamiimojablogu Mbeya...
No comments: