LIVE STREAM ADS

Header Ads

MIKAELA PROFESSIONAL TAILORS: EWE MTANZANIA KUWA MAKINI NA UCHUKUE HATUA SASA.

"Alikuja kwetu huku akiwa analia, tena machozi kabisa yamemjaa usoni. Tukampokea. Tukamuuliza yaliyomsibu. Akaeleza meeengi lakini lililotuhuzunisha ni fundi mmoja hivi Jijini Mwanza kumshonea nguo ambayo haikumsitiri alipoenda kuichukua. Mbaya zaidi ilikuwa nguo ya shughuli na zilikuwa zimebaki siku tatu kabla ya shughuli.

Tukasema haiwezekani, lazima Mikaela Professional Tailor tuirejeshe furaha yake. Na kweli tukamshonea nguo nzuri tena kwa muda mchache na akaifurahia. Kiukweli watu wawe makini na mafundi wa nguo". Ni ushuhuda kutoka MIKAELA PROFESSIONAL TAILORS, Watalaamu wa Ushonaji Jijini Mwanza-0767 68 28 88 Ghana Green View!

No comments:

Powered by Blogger.