LIVE STREAM ADS

Header Ads

MIKAELA PROFESSIONAL TAILORS WATOA FURSA KWA WANANCHI KUJIONEA UBUNIFU WA MAVAZI.

Vazi hili lilibuniwa na kushonwa na Watalaamu wa Ushonaji kutoka MIKAELA PRODESSIONAL TAILORS wanaopatikana Ghana Green View Jijini Mwanza. Wanatazamana na Msikiti wa Thabiq.

Kumbuka Mikaela Professional Tailors wametoa fursa kwa mtu yeyote kutembelea ofisini kwao kwa ajili ya kujionea Ubunifu wa Mavazi ya aina mbalimbali.
Ubunifu na Ushonaji kutoka Mikaela Professional Tailors Jijini Mwanza
Wasiliana nasi kwa nambari 0688 44 74 44, 0767 68 28 88.

No comments:

Powered by Blogger.