LIVE STREAM ADS

Header Ads

RIPOTI KUTOKA MAHAKAMA KUU KANDA YA MWANZA KATIKA KESI YA WENJE.

Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza, hii leo imeahirisha tena Kesi ya Kupinga Matokeo ya Uchaguzi Jimbo la Nyamagana Mkoani Mwanza, iliyofunguliwa na aliekuwa Mgombea wa Chadema Ezekiel Wenje ambae anapinga Ushindi wa Stanslaus Mabula (CCM) kwa madai kwamba uchaguzi huo haukuwa wa huru na haki.
Kesi hiyo imeahirishwa hadi jumanne wiki ijayo April 5,2016.
Zaidi Bonyeza HAPA.

No comments:

Powered by Blogger.