LIVE STREAM ADS

Header Ads

102.5 LAKE FM MWANZA, WAMETISHA.

102.5 Lake Fm, Raha ya Rock City ya Jijini Mwanza sasa inawatambulisha wasikilizaji na wadau wake katika mitandao ya Kijamii kama post hapo chini inavyojieleza.

"Msanii chipukizi Jijini Mwanza, Elizayo HB (katikati) akiwa na Wananzengo wenzake katika Mtaa wa Tanganyika.
Raha yake ya Rock City ni Kusikiliza Mziki Mzuri kama unaochezwa #LakeFm Radio ya Wananzengo.

JE WEWE RAHA YAKO YA ROCK CITY NI NINI?
Tuambie kupitia Instagram, Facebook na Twitter @lakefmmwanza
#LakeFm‪ #RahaYaRockCity #RadioYaWananzengo".

No comments:

Powered by Blogger.