LIVE STREAM ADS

Header Ads

ACHA WANA MWANZA WAPATE RAHA.

Ukizungumzia Raha za Rock City, lazima utaijumuisha redio mpya iitwayo 102.5 Lake Fm, Raha ya Rock City. 
Ni redio ya Wananzengo iliyo katika matangazo ya majaribio tangu machi 14 mwaka huu, lakini Wananzengo wa Mwanza wamekubali burudani inayotolewa na redio hiyo na wanaisubiria vipindi vyake kwa hamu kubwa.
Follow Instagram, Twitter & Facebook @lakefmmwanza

No comments:

Powered by Blogger.