LIVE STREAM ADS

Header Ads

JEMBEKA FESTIVAL 2016 NI BALAA. TAZAMA LIST YA WASANII WATAKAOMENYANA JUKWAA MOJA NA NEYO.




List ya Wasanii Wengine Bado Inaendelea...
Kumbuka tayari Mkali wa Tuzo za Glammy kutoka nchini Mareka NEYO, Mkali wa tuzo kibao ikiwemo Mtvkutoka Tz Diamond Platnumz pamoja na Mkali wa jukwaa Juma Nature wamekwisha tambulishwa rasmi kukinukisha katika tamasha la Jembeka Festival 2016 litakazofanyika Jumamosi May 21 katika Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza.
Bonyeza HAPA na HAPA Kujua zaidi.

No comments:

Powered by Blogger.