LIVE STREAM ADS

Header Ads

JULIANA PATRICK (16) KUTOKA MWANZA KUTUMBUIZA KATIKA KONGAMANO LA WATANZANIA WAISHIO NCHINI MAREKANI.

Juliana Patrick (16) binti kutoka Mkoani Mwanza, Tanzania anatarajia kuwa mmoja wa watumbuizaji katika Kongamano kubwa linalowakutanisha watanzania wanaoishi Marekani na wadau wao muhimu wa kimaendeleo liitwalo Dicota Convention.

Juliana Patrick anataamba na nyimbo tatu ambazo ni Dear Diary ambayo ilipotoka ilishika nafasi ya pili katika chati za muziki ya Reverbnation nchini Marekani, We are on a roll na Remember me. Juliana (pichani wa kwanza kulia) pia ameshirikishwa kwenye nyimbo kadhaa na wanamuziki wengine kuoka nchini Marekana ambapo yuko kimasomo.

"Hey guys! Guess what? I'm going to be performing at the amazing Dicota Convention! I'm so excited because so many great people are going to be there. Plus it's a party lasting 3 days who wouldn't want to be there? Peep your girl catching stars and flying on clouds! Much love my loves". Juliana meandika kwenye ukurasa wake wa Facebook
Check Video yake HAPA, Shukrani kwa Jacob Malihoja.

No comments:

Powered by Blogger.