LIVE STREAM ADS

Header Ads

KAIMU KATIBU MKUU UVCCM TAIFA ATIKISA NGORONGORO MKOANI ARUSHA.

Jana Msafara wa Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka ukielekea katika Wilaya ya Ngorongoro kwa ajili ya kuendelea na ziara yake ya kikazi.

Kaimu Katibu Mkuu Shaka Hamdu Shaka (wa nne waliokaa kulia) alipo simama na kuzungumza na Viongozi wa Vijana wa Kabila la Wamasai katika kijiji cha Ngaraseko

Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka azindua shina la wakereketwa  wa CCM mara baada ya kuingia kata ya Ngaraseko Mkoani Arusha.

Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka (katikati) akisaini pamoja na Mkuu wa utawala UVCCM Taifa Omari ngw'anagw'alu katika Ofisi kuu za CCM Wilaya ya Ngorongoro

Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka akipokelewa na Wananchi, mara baada ya kuwasiri katika uwanja wa mkutano uliofanyika katika kata ya Enguserusambo kijiji cha Ngw"arwa Wilayani Ngorongoro.

Diwani wa Kata ya Enguserusambo Ndg:William Palmilia akizungumza na wananchi wa kata yake mara baada ya mkutano kuanza

Baada ya kuingia eneo la Mkutano Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka alipewa zawadi ya Mbuzi Aina ya Beberu na Wananchi wa kijiji cha Ngw"arwa 

Pia Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka alipewa Shuka ya kimasai na wananchi wa eneo hilo ikiwa ni ishara ya kumkaribisha na kwa kufurahia uji wake ndani ya Wilaya Ya Ngorongoro.

Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka akiwa amevalia mavazi mavazi ya kimasai

Mwenyekiti wa Vijana Mkoa wa Arusha Lengai Ole Sabaya akizungumza katika mkutano wa Hadhara.

Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka akihutubia umati wa Wananchi katika mkutano wa hadhara katika kijiji cha Ngw"arwa Wilayani Ngorongoro.

Wanawake wakiimba nyimbo ikiwa ishara ya kufurahishwa na ziara ya Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka H Shaka.
Picha na Fahad Miraji @BMG.

No comments:

Powered by Blogger.