BMG YAPONGEZWA.
George Binagi-GB Pazzo ambae Mwanahabari na Blogger wa Mtandao huu akiwa na Kinasa sauti cha BMG ambacho hutumika kunasa matukio kwa ajili ya Binagi Online Radio.
GB ameweka picha hiyo hii leo facebook & Instagram, baada mdau wa BMG akaja na pongezi zake kama ifuatavyo;
"Nimekuta hii pic kwenye Instagram by the way I'm Instagram
fan, forget about nice hair za kaka mkubwa, macho yangu yalitua kwenye mkono
wake, alichokamata kina maana kubwa sana kwangu,
forget about cost because I
know nothing on that, lakini nawaza jinsi gani this home boy ana vision za
kufika mbali na safari yake kaishaianza, sijui sana kuhusu challenges
alizopitia/anazopitia coz I've got a opportunity to talk privately with him but
I think we share some common interest za kuona kile tunakianza kinafika sehemu
Fulani,
natumai sana kuna siku nitakuwa nasimulia watu mafanikio ya huyu jamaa,
napenda sana unachokifanya coz wakifanya kwa moyo mmoja na kwa upendo, I wish
siku moja tutasherekea mafanikio yako pamoja (forget about sharing challenges
and failures)
I am just kidding bro drop it, by the way nafurahi sana tena sana
kuona kijana ana ndoto zake, hongera sana kaka @Gb". Ameandika Gervas Evodius Kaiba (Picha chini) ambae ni Meneja Miradi wa Shirika la Kutetea Haki za Wasichana na Wanawake Mkoani Mwanza liitwalo HAKI_ZETU. Pia ni mwakili kutoka Tanzania katika Mradi wa kuwajengea uwezo Vijana Viongozi Barani Afrika ujulikanao kama CUMEN FELLOW 2016.
Kwa niaba ya team nzima ya BMG, GB Pazzo napokea pongezi hizo kwa dhati kabisa. Ili kufikia mafanikio maishani, tukubali kupongezwa na kukosolewa pia.
Gervas Evodius Kaiba ambae ni Meneja Miradi wa Shirika la Kutetea Haki za Wasichana na Wanawake Mkoani Mwanza liitwalo HAKI_ZETU. Pia ni mwakili kutoka Tanzania katika Mradi wa kuwajengea uwezo Vijana Viongozi Barani Afrika ujulikanao kama CUMEN FELLOW 2016.
George Binagi-GB Pazzo, Mwanahabari na Blogger wa Mtandao huu akiwa na Kinasa sauti cha BMG ambacho hutumika kunasa matukio kwa ajili ya Binagi Online Radio.
No comments: