LIVE STREAM ADS

Header Ads

KAMPUNI YA MAWASILIANO TIGO YAIPIGA MSASA HOSPITALI YA WILAYA YA UKEREWE MKOANI MWANZA.

Mkurugenzi wa Kanda ya Ziwa wa mtandao wa Tigo, Ali Maswanya(fulana ya blue), akimkabidhi Vyandarua 80 Kaimu Mganga Mkuu wa  Hospitali ya Wilaya ya Ukerewe, Dkt.Kaniki Titus,kwenye hafla ya Makabidhiano hayo iliyofanyika Mkoani Mwanza juzi.
Na Krantz Mwantepele



Mkurugenzi wa Mikakati(Director of Strategy)wa Kampuni ya Mawasiliano ya Tigo, Kobbina Awuah (wa tatu kushoto) akimkabidhi Vyandarua 80 Kaimu Mganga Mkuu wa  Hospitali ya Wilaya ya Ukerewe Dkt.Kaniki Titus, kwenye hafla ya Makabidhiano iliyofanyika Mkoani Mwanza.

No comments:

Powered by Blogger.