LIVE STREAM ADS

Header Ads

JESHI LA POLISI MKOANI KIGOMA LAENDESHA MSAKO MKALI.

Na Rhoda Ezekiel, Kigoma
Jeshi la Polisi Mkoani Kigoma linamshikilia mtu mmoja mkazi wa Manispaa ya Kigoma Ujiji,  anaesadikika kuwa jambazi kwa kukutwa na risasi tisa za bunduki aina ya SMG

Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoani Kigoma SACP Frednandi Mtui, amesema askari polisi wakiwa doria walifanikiwa kuwakamata watuhumiwa hao april 30, mwaka huu.



Amesema msako zaidi unaenendelea kkatika Wilaya zote Mkoani Kigoma ambapo wiki hii jeshi la polisi liwamekamata wahamiaji haramu 30, pombe ya moshi (gongo) lita 80 na bangi kilo moja na nusu ambapo ametoa rai kwa wananchi kutoa taarifa kwa jeshi hilo pindi waonapo mtu wanaemtilia mashaka kuwa anajihusisha na uhalifu ama kuwahifadhi wahamiaji haramu.

No comments:

Powered by Blogger.