LIVE STREAM ADS

Header Ads

MAHAFALI YA KIDATO CHA SITA MKOLANI SEKONDARI JIJINI MWANZA KUFANYIKA LEO.

Kamati ya Maandalizi ya Mahafali ya Kidato cha Sita 2016 katika Shule ya Sekondari Mkolani iliyopo Jijini Mwanza, Mwalimu Edwin Paissi, kwa niaba ya kamati hiyo, anawakaribisha wadau wote wa elimu wakiwemo wazazi, walezi, viongozi mbalimbali pamoja na wanafunzi waliowahi kusoma Mkolani Sekondari, katika Mahafali hayo yanayofanyika leo Mei 19,2016 shuleni hapo.
Mgeni Rasmi anatarajiwa kuwa diwani wa Kata ya Mkolani, Mhe.Disma Rithe.
Bonyeza HAPA Kutazama Mahafali ya Mwaka Jana.

No comments:

Powered by Blogger.