LIVE STREAM ADS

Header Ads

MISS TANZANIA USA ATEMBELEA SHULE YA KENTON HIGH SCHOOL YA JIJINI DAR ES SALAAM.

Miss Tanzania USA 2015-2016, Aeesha Kamara, akiongea na wanafunzi wa Kenton High School ya Tabata jijini Dar es Salaam siku alipotembelea shuleni hapo katika moja ya majukumu yake ya kuhudumia jumuiya. Miss Kamara anadhamini wanafunzi wawili shuleni hapo.
Miss Tanzania USA Pageant Aeesha Kamara akimkabidhi msaada mwalimu mipira siku alipotembela shule ya Kenton High School ya Tabata jijini Dar es Salaam.
Miss Tanzania USA Aesha Kamara akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wawili anaowadhamini kwa kuwasomesha shuleni hapo.
Picha ya pamoja

No comments:

Powered by Blogger.