LIVE STREAM ADS

Header Ads

MTEJA WA EXIM BANK JIJINI MWANZA AJISHINDIA SIMU YA KIWANGO.

Meneja wa Exim Bank tawi la Mwanza, Deogratias Makwamia (Kushoto), akimkabidhi zawadi ya simu aina ya iPhone 5s, Chidiebere Abasirim (kulia) ambae ni mteja wa bank hiyo katika hafla fupi iliyofanyika jijini Mwanza wiki hii.

Ni baada ya kujishindia zawadi hiyo katika kampeni ya Exim Bank inayohamasisha matumizi ya kituo chake cha huduma kwa wateja kwa njia ya mawasiliano ya simu ambapo mteja akipiga nambari 0784107600 kwa ajili ya kupata usaidizi wa huduma mbalimbali za benki hiyo, anapata fursa ya kujishindia zawadi mbalimbali.

Mteja wa Exim Bank (Kulia) akipongezwa na mmoja wa wafanyakazi wa Exim Bank baada ya kujishindia simu
Mpya kutoka kwa box
Chidiebere Abasirim, mkazi wa jijini Mwanza akionesha zawadi ya simu aliyojishindia kutoka Exim Bank.
Imeandaliwa na BMG

No comments:

Powered by Blogger.