VIDEO: MAARIFA BIGTHINKER PHASE ONE WITH KINASA ENTERTAINMENT.
Miongoni mwa wasanii wachanga (underground artist) katika mziki wa HIP HOP maarufu kama "wachenguaji" kupitia mwamvuli wa #TamaduniMuzik,
na mmoja kati ya watu wanne wanaounda kundi la mziki linalifahamika
kama 'Musk_teers (irekebishwe inapobidi)', Maarifa Bigthinker on the set
akiwa na Kweli Emcee. LIVING IN DREAMS.
CLICK LINK HAPA CHINI KUTAZAMA:
No comments: