LIVE STREAM ADS

Header Ads

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ATOA KAULI KUHUSU SUALA LA URAIA PACHA.

Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa akizungumza na watanzania waliojumuika kumsikiliza jijini London Uingereza.

Kipindi cha JUKWAA LANGU hukujia kila Jumatatu kikiongozwa na Mubelwa Bandio kutoka Beltsville Maryland, Marekani kikiangazia masuala mbalimbali juu ya Tanzania ya sasa na ile tuitakayo.

Ni Tanzania kutoka jicho la DIASPORA Na katika kipindi cha juma hili, tulizungumza na Chris Lukosi, ambaye alitupa muhtasari wa ziara ya Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa huko nchini Uingereza.

Muhtasari huo ulizua na mjadala mkali juu ya ahadi za serikali kuhusu vibali maalum kwa waTanzania waishio nje ya nchi.

No comments:

Powered by Blogger.