LIVE STREAM ADS

Header Ads

ASKOFU FLAVIAN KASSALA ASIMIKWA RASMI KUWA ASKOFU MPYA WA JIMBO KATOLIKI GEITA.

2
Viongozi wa Kiserikali wakiwasili katika Jimbo la Kanisa Katoliki Geita, kwa ajili ya kushuhudia ibada ya kusimikwa kwa Askofu Flavian Kassala iliyofanyika jana.

3
Viongozi mbalimbali wawakiwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa (wa pili kulia).
4
Viongozi mbalimbali wakiwa katika ibada ya kumsimika Askofu wa Jimbo Kuu la Geita.
5
Waumini waliohudhuria katika ibada ya kusimikwa.
678910
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Mwanza, Yuda Ruwaichi, akizungumza na waumini waliojitokeza katika ibada ya kusimikwa.
11
Askofu Mteule, Flavian Kassala, akiwa katika hatua ya awali ya kusimikwa
12131415
Askofu Flavian Kassala akiwa ameshasimikwa rasmi kuwa Askofu mpya wa Jimbo la Katoliki Geita.

No comments:

Powered by Blogger.