AUDIO: MAHOJIANO NA MTANZANIA ANAEMILIKI MGAHAWA MKUBWA NCHINI SWEDEN.
![]() |
Chef Issa ma ma-Chef
wa timu ya Stockholm, Sweden, waliposhiriki na kushika nafasi ya
kwanza katika kipengele cha timu za kanda kwenye mashindano ya Kombe la
Dunia la Mapishi 2014 yajulikanayo kama Villeroy & Boch Culinary World Cup 2014 yaliyofanyika nchini Luxemborg. |
Alikuwa mkarimu sana kujiunga na Mubelwa Bandio kuzungumzia safari yake katika fani ya upishi na mpaka alipofikia. Karibu ujiunge nasi kusikiliza
No comments: