LIVE STREAM ADS

Header Ads

BMG INAKUTAKIA RAMADHANI NJEMA.

Ikiwa leo ni funga ya tano, BMG tunakutakia Ramadan Mubarak ndugu Muislamu. Kumbuka Funga si kulizuia kundi la watu dhidi ya kula. Hapana, Hakika ya funga ni funga ya viungo dhidi ya kufanya madhambi.


Funga ni Kuuzuia ulimi dhidi ya maneno yasiyokuwa na faida. Ni kuhifadhi masikio dhidi ya kusikia mambo ya haramu. Ni kuhifadhi macho dhidi ya kuangalia haramu. Ni kuizuia miguu dhidi ya kuelekea katika mambo ya haramu. Ibun Qayyim-rahimahu LLAH-

No comments:

Powered by Blogger.