IPO NGUVU YA MUNGU KWENYE IBADA ZA LEO KATIKA KANISA LA EAGT LUMALA MPYA JIJINI MWANZA.
KARIBU KATIKA KANISA LA EAGT LUMALA MPYA, KWA MCHUNGAJI DR.DANIEL MOSES KULOLA (MWENYE TAI) AMBAPO IBADA ZA KATIKATI YA JUMA HUFANYIKA SIKU ZA JUMATANO NA IJUMAA KUANZIA SAA 10:00 JIONI.
JUMAPILI KUNA IBADA TATU, IBADA YA KWANZA AMBAYO NI YA KIINGEREZA HUANZA SAA 12 HADI SAA 01:00 ASUBUHI, IBADA YA PILI HUANZA SAA 01:00 HADI 04.15 ASUBUHI NA IBADA YA TATU HUANZA SAA 4:30 ASUBUHI HADI SAA 08 ALASIRI.
Pia ule Mkutano Mkubwa wa OYES 2016 unaanza leo june 12,2016 hadi jumapili ijayo june 19,2016 katika Viwanja vya EAGT Lumala Mpya Ilemela Jijini Mwanza. Panda magari ya Ilemela au Airpot, shuka kituo cha Sabasaba Kona ya Kiseka, tembea hatua chache hadi Soko Jipya la Sabasaba, uliza kwa Mchungaji Dr.Daniel Moses Kulola, utaelekezwa.
No comments: