JE, UNATESEKA NA MSONGO WA MAWAZO?TAZAMA VIDEO HII KUSAIDIA KUOKOA MAISHA LEO.
Je, unateseka na msongo wa Mawazo? Je, unajua watu ambao wateseka? Unaweza kuokoa maisha leo!
Video hii inatahadharisha kuhusu afya ya akili watu mbalimbali wanapatwa na matatizo haya ya akili yanayowapelekea kuchukua maamuzi mabaya yakiwemo hata kuchukua hatua ya kujiua.
#Kwenye kampuni ya METL inaamini, kwamba wafanyakazi wake ni mali yao hivyo inawapatia elimu hii na inaendelea kuwasaidia kwani wasingeweza kufikia hapo bila watu wake hao.
Kamwe hujachelewa kuomba msaada andika maoni yako na tuendeleze mjadala huu.
"it's never too late to get help,Write your views in the comments and let's take this discussion ahead."
Nawe msomaji wetu unaweza kuandika maoni yako na tuendeleze mjadala huu, baada ya kuiona video hii hapa chini:
No comments: