KATIBU MKUU CUF NDANI YA WASHINGTON DC NCHINI MAREKANI.
Katibu Mkuu wa chama cha wananchi CUF Maalim Seif Sharif Hamad akiongea jambo kujadili matokeo ya uchaguzi mkuu wa tarehe 25 Oktoba, 2015 kwenye mkutano ulioandaliwa na Centre for Strategic and International Studies (CSIS) jana Jumatatu June 13, 2016 ndani ya jengo la (CSIS) liliopo Rhode Island Ave, NW jijini Washington DC nchini Marekani.
Picha zote na swahilivilla

Katibu Mkuu wa chama cha wananchi CUF Maalim Seif Sharif Hamad, akielezea hali halisi ya siasa za Zanzibar, katikati akiwa na Mkurugenzi wa CSIS, Bi.Jennifer G. Cooke, pamoja na aliekua balozi wa Marekani nchini Tanzania Mark Green, ambae sasa hivi ni President, International Republican Institute
Aliekua balozi wa Marekani nchini Tanzania Mark Green, ambae sasa hivi ni President, International Republican Institute, akionge siasa za Zanzibar.
Mkurugenzi wa Centre for Strategic and International Studies (CSIS) Bi Jennifer G. Cooke,akiongea maelezo kuhusu mkutano mzima uliofanyika jana June 13, 2016 ndani ya jengo la (CSIS) liliopo Rhode Island Ave, NW jijini Washington DC.
Katibu Mkuu wa chama cha wananchi CUF Maalim Seif Sharif Hamad, pamoja na aliekua balozi wa Marekani nchini Tanzania Mark Green.
Katibu Mkuu wa chama cha wananchi CUF Maalim Seif Sharif Hamad, akijibu maswali
Bi.Mercedeh Momeni ambae ni Deputy Regional Director, Southern and East Africa, National Democratic Institute, akiongea jambo kuhusu mpango mzima wa mkutano huo

Baada ya kumaliza mkutano wa (CSIS) jijini Washington DC

No comments: