LIVE STREAM ADS

Header Ads

RATIBA YA MKUU WA MKOA WA MWANZA KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Nasi Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

BMG imekutana na Tangazo hili muhimu kwa wananchi likiwa limebandikwa kwenye moja ya kuta za jengo la Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhe.John Mongella, hivyo ni vyema nawe msomaji wetu mkazi wa Mkoa wa Mwanza likakufikia mwana wa kwetu.

No comments:

Powered by Blogger.