LIVE STREAM ADS

Header Ads

USAHILI WA SHINDANO LA MAISHA PLUS EAST AFRIKA 2016 KUANZA JUMAMOSI.


Mtwara Auditions - Maisha Plus EA 2016
MTWARA, MTWARA, MTWARA! Usaili wa Maisha Plus utafanyika katika ufukwe wa NAF Beach Hotel Jumamosi hii Tarehe 4 Juni 2016 kuanzia saa mbili asubuhi. Fomu zitapatikana siku hiyo na unaweza pia kujaza mtandaoni kwa kompyuta au simu kwa urahisi kabisa kupitia www.maishaplus.tv. Kumbuka; Fomu ni BURE.Tafadhali share na marafiki.

No comments:

Powered by Blogger.